Mjue msanii wako( part One) Roy mills roy mills Alizaliwa october 10 1994 katika mkoa wa iringa hospitali ya mkoa wa iringa, goverment. Alikulia mkoani kilimanjaro baada ya wazazi wake kuamia huko, kipaji chake kilianza kuonekana akiwa mdogo, sana alikuwa na akili sana darasani, baada yakumaliza elimu yake ya secondari alishindwa kuendelea na masomo yake,